Kutokana na ongezeko kubwa la watu wenye vipaji mbalimbali na wengi wao wanatokea uwsahilini kwetu, Uswazi tumeingia uswahilini na kuwauliza waswazi kuwa, wana wasaidia vipi watu wenye vipaji mtaani kwao, Ni jumapili saa 12 jioni, Tutajadili pamoja.