Submitted by Joseph Salam on Jumatano , 9th Apr , 2014
Jumatatu ijayo katika katika kipindi cha ujenzi.
Kila mbunifu anaweza kubuni ngazi, lakini unafahamu kitalamu ngazi zinatakiwa kusanifiwa vipi? Sasa basi, ukitaka kufahamu haya na mengine mengi usikose kuangalia kipindi cha ujenzi.