Submitted by Basilisa on Jumatatu , 4th Jul , 2016Jumapili hii katika kipindi cha UJENZI, tutakuwa na mdau akitujuza Namna Bora ya kusimamia ujenzi wa nyumba ili kuepuka garama za ujenzi zisizo za lazima.