Uzuri wa chumba chako ni pamoja na kuwa na vitu vya kisasa kama bedroom beach au dawati la chumbani. Jumapili katika kipindi cha UJENZI tutakuonesha jinsi ya kupangilia dawati hili, ili nyumba yako iweze kupendeza zaidi.