Submitted by Basilisa on Jumatatu , 6th Jun , 2016
Kipindi cha UJENZI kinakupa bonge la show kuhusu namna ya kujengea urembo wa gypsum kwenye nyumba yako. Kwa undani wa habari hizi na nyingine nyingi tukutane Jumapili hii kwenye kipindi cha UJENZI saa 12 jioni EATV Pekee