Alhamis hii katika kipindi cha UJENZI tupo na mtalaamu wa milango ya Zanzibar, atakujuza ubora, uimara na Uzuri wa Mlango huu kwenye nyumba yako.