Alhamis hii katika kipindi cha UJENZI , tutakuwa na mtaalamu wa ujenzi akielezea zaidi namna ya kuchagua sehemu ya kujenga nyumba.