Urembo wa nyumba unaweza ukaongezwa kwa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutumia mawe ya mtoni kwa kuyajengea katika sehemu mbalimbali ya nyumba yako, Alhamis hii katika kipindi cha UJENZI.