Alhamis hii katika kipindi cha UJENZI tutaangalia nyumba ya kijana ambaye hana familia bado, inatakiwa kuwa katika muonekano gani Ni Alhamis saa tatu na nusu usiku.