Name: Mwamba MachelaWatanzania tuamke sasa tuachane na mambo ya ushabiki wa vyama vya siasa au watu fulani havikutusaidia, tupige kura kumchagua kiongozi mwenye nia ya maendeleo.Category: Hamasisha