Name: Goodluck Thomas Mrema.Vijana tuache ushabiki wa siasa na tumuombe mungu uchaguzi huu uwe wa amani na upendo, tunahitaji mabadiiko kwahiyo na sisi tubadilike na tujitokeae kupiga kuraCategory: Hamasisha