Name: Frederick Julius Mchande.Watanzania tujitokeze kwa wingi 25 octoba kuchagua kiongozi mwenye uwezo wakuondolea umasikini na kutupatia elimu kwani elimu ni ufunguo wa maisha.Category: Hamasisha