Name: Latyfa Sayed.Tujitokeze kwa wingi wakati wa kupiga kura ili kumchagua kiongoz bora, kuwa na kitambulisho kama hutopiga kura haitokuwa na maana yeyote, Tukutane octoba 25.Category: Hamasisha