Name: Said Rashid Mwepuke.Napenda kuwashauri watanzania wenzangu tusiwe wazembe kwenda kujiandikisha watapoteza haki ya msingi, hivyo tujiandikishe ili tuweze kuchangua viongozi bora.Category: Hamasisha