Name: Innoh Godlisten Watanzania tudumishe amani na upendo kipindi hiki cha uchaguzi pia tuache siasa za majitaka kwani hupelekea wagombea kuchafuliwa na pia kusababisha vurugu.Category: Hamasisha