Name: Eliya DaffaWatanzania tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura kama jinsi ambavyo tumejitokeza katika kujiandikisha, ili tuchague watu sahihi kwa masilahi ya Taifa letu.Category: Hamasisha