Name: 
Nuru Abdallah Daudi
Watanzania wenzangu kama tutaweza kupata viongozi bora maisha tutayaona mepesi, kwani nchi yetu ina utajiri mwingi sana ila wachache ndio wananufaika.
Category: 
Hamasisha