Waziri wa nchi sera,uratibu na Bunge ,ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama amewatembela na kuwafariji wwaathirika wa Majanga ya mvua
Katibu wa kongamano la Baraza la Wanawake wa kiislamu Wilaya ya Kongwa Mariam Issa Msami.
Mzigo wa miwa ukiwa tayari umeshushwa kutoka kwenye gari la mizigo katika soko la Tandale.