Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa Ramadhani A. Mungi akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao Makuu ya Jeshi la Polisi Iringa.
Aliewahu kuwa Waziri katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi,na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Marehemu Bi. Asha Bakari Makame