Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Juma Haji Duni.
Mmoja wa Wenyeviti Wenza wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA ,James Mbatia akiongeza na waandishi wa habari.
Golikipa wa Singida FG amefungiwa michezo 3 na faini ya shilingi milioni 1 kwa kosa la kuwafanyia vurugu Coastal Union