Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi nchini Tanzania, mhe. Mwigullu Nchemba.
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa PTA Bank Bw. Admassu Tadesse.
Nash MC
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Dar es salaam Sophia Mjema akipokea maelezo juu ajali ya \treni iliyotokea asubuhi ya leo eneo la Kalakata.