Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
Aliewahu kuwa Waziri katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi,na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Marehemu Bi. Asha Bakari Makame
Naibu Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko (kushoto), akimsikiliza Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GGML, Stephen Mhando (kulia) kuhusu teknolojia mpya zinazotumiwa katika uchimbaji wa kampuni hiyo mkoani Geita. Biteko alitembelea banda la GGML katika kongamano la Kimataifa la Madini na Uwekezaji Tanzania 2023 linalofanyika jijini Dar es Salaam