Mtaa kwa mtaa
Huyu hapa Barakati akielezea jinsi ambavyo na yeye ameifanya biashara ya kusafirisha wadudu, bundi nk
uswazi.com
Abassi, mfuga vyura, akitoa sifa za chura hawa anaowafuga, tabia zake, mazingira anayopatikana n.k.
salaam
Kuna imani tofauti wanayochukulia waswazi kwa hawa wanaofuga vyura, huyu hapa mmoja wapo naye akitoa yake ya moyoni.