Site
Kuna tofauti kubwa sana ya idadi ya mbao pale unapotaka kupaua vigae ukilinganisha na bati.
Site
ukipaua nyumba kwa kutumia vigae itakulazimu kujenga msingi wako vizuri zaidi kwakuwa vigae ni vizito kuliko bati.
Fahari ya nyumba
Mpangilio wa vyombo kwenye kabati unatakiwa uzingatie aina za rangi za vyombo.

