SITE
Kwa ufahamu wa baadhi ya mafundi, Wanasema kwamba mabati yanatofautiana ubora. Kuna mabati yanayopata kutu na yasiyo pata kutu.
SITE
Uchaguzi sahihi wa vifaa vya ujenzi ni muhimu sana kutokana na wimbi la vifaa visivyo kuwa na ubora katika soko mathalani mbao za kupaulia paa la nyumba ni muhimu sana kuzingatia ubora.
FAHARI YA NYUMBA
Dressing Table ina umuhimu sana katika nyumba na inatakiwa kuwa katika chumba cha kuvalia. Tofauti na watu wengi ambao wanaweka Dressing Table katika vyumba vya kulala au sebureni.