Tambuka
Wavuvi wadogowadogo katika bahari ya Hindi hasa katika jiji la Dar es salaam wanakabiliwa na changamoto kubwa ya matumizi ya zana duni za uvuvi.
Tambuka
Samaki anayependwa sana katika bahari ya Hindi kwa kitoweo ni samaki aina ya Changu.
Tambuka
Bei ya samaki katika soko la feri inaaza kupangwa na Dalali.
