Q and A
Kama kawaida ukikosa una kuna kidevu na ukipata unatokelezea kama mwanafunzi huyu kutoka Agape sekondari alivyotokelezea
Mtu wangu
Wanafunzi hawa kutoka Agape sekondari wao walimchagua Joyce Kiria kuwani mtu wao ambaye wanamkubali sana.
Tokelezea
Kipaji siku zote ni huwa kutoka moyoni kama unavyoona kutoka kwa Golden ambaye ni mwanafunzi kutoka Agape sec.