Mtu wangu
Mwanafunzi kutoka Kifai Sekondari yeye anasema mtu wake ni Mh. Halima Mdee kama jinsi ambavyo amefafanua.
Q and A
Hili ni moja kati ya swali ambalo mwanafunzi huyu hakusita kulijibu baada ya kudakwa na Kevoo
Tokelezea
Kifai sekondari hiki ndicho walichokionesha kwa wana Skonga na wakatokelezea ile kisawa sawa