MGODI-Hans
Ndani ya Mgodi kutana na kijana mpya kwenye game, anaitwa Hans na sasa akiwa ana video yake kutoka kwenye single yake; Thamani.
Usiku Mnene - Godzilla
Tukiwa pale club Billcana mcheki Godzilla akisababisha pale stagini kama kawa ki mzuka zaidi, muone Godzilla ndani ya kitengo.
Kichupa - Nyandu tozi
Single yake ya mwisho ali alfanya collabo na Young D sasa ana kichupa kipya; mambo mengine baadae akiwa pamoja na Mr. Blue.