KITENGO - Shetta
Shetta a.k.a Baba Kayla baaada ya kuona maisha yake ya shule pia na walimu wake sasa anaelezea kuhusu ndoa yake, vipi ana weka mwili wake fiti na maisha ya muziki kwa ujumla.
Usiku Mnene - Weusi
Kati ya show kali sana iliyofanyika pale Club Maisha ni hii hapa ya kundi kutoka A-town City, WEUSI!
Mgodini - Hardname
Hardname ni msamii wakizazi kipya anayekuja kwa kasi kwenye Muziki wa Hip Hop nchini na sasa akiwa na wimbo wake unaoitwa Stress.