NJE YA BOX
Rapa Joh Makin ameongea na Nje ya Box ya Planet Bongo na kusema Director wa Video Tanzania wanahitaji video zenye ubora wa kutazamwa kidunia zaidi.
KITENGO
Msanii Harmonize amesema licha ya muigizaji wa Bongo Movie Rose Ndauka ni bonge la mrembo lakini kwa yeye sio rahisi kumkubali haraka.
KICHUPA
Msanii kutoka kiwanda cha bongo fleva Naj atoa video yake mpya 'NO GOING HOME' iliofanyika Uingereza.