KITENGO
Young Dee alisema siku ambayo hawezi kusahau katika maisha yake ni siku alipomuona Mama yake anapanda kwenye 'Stage' na 'Sapoti' vilileta mabadiliko makubwa sana katika maisha yake ya muziki ukizingatia Mama yake alikuwa sio mpenzi wa muziki.
KICHUPA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Jaco Beat aliachia kichupa chake kinachokwenda kwa jina la Eeh mola ambacho kinahamasisha uchaguzi wa Tanzania kwa amani