NJE YA BOX-MANGWEAH
Mama mzazi wa Rapper Marehemu Albert Mangwea amesema kuwa hadi sasa haja nufaika na muziki wa mtoto wake tangia afariki dunia, akizungumza na PLANET BONGO ya EATV M2The P ambaye ni rafiki wa Mangwea na anakiri hilo. huyu hapa msikilize.
KITENGO -RASH DON
Mtayarishaji wa Muziki wa Bongo Flava nchini Rash Don amefunguka kuwa hana tatizo lolote na mtayarishaji mwenzake ambaye alikuwa akifanya nae kazi pamoja C9 KANJENJE na anamuheshimu sana.
USIKU MNENE- SHETTA
Kwenye USIKU MNENE mtazame Shetta akiwarusha mashabiki wake pale Club Maisha na ilikuwa bonge la show .