NJE YA BOX
Mwanamuziki Stara Thomas afunguka zaidi kufanya ngoma na Joe Makini, cheki hapa akielezea zaidi.
KITENGO -JOE MAKINI
Joe Makini akishirikiana na wasanii wenzake kukamilisha video ya Nusu Nusu, na walioshiriki katika video hiyo ni Shetta, G.Nako pamoja na msanii Jux.
USIKU MNENE- COUNTRY BOY
Huyu hapa Country Boy akiwarusha mashabiki wake pale Club Maisha.