KITENGO - WAGOSI WAKAYA
Wakitokea Tanga Wagosi wakaya ni wasanii walio mahiri kwenye Hip Hop ya kizamani zaidi. Pale nyimbo zao sio beat itakayo kurusha bali mashairi yao na sasa wakiwa wametoa video mpya; Mgahawa.
MGODI - ILLUMINATION
Kama mtoto wa kike tayari ataka kujua mengi kwenye tasnia ya mziki wa kizazi kipya. Illumination akiwa ndani ya mgodi yeye ana rap na pia kujifundisha ku tengeneza musiki.
USIKU MNENE - BECKA TITLE
Uskiku mnene ndani ya planet bongo, usimkose Becka title akiwa pale stagini ndani ya Bill Canas.