Wagosi wa Kaya
Wagosi wa Kaya wamerudi tena wakiwa na video mbili kwa mpigo hapa wakituonjesha tu ili tukumbuke makeke yao
Queen Darleen
Baada ya kushinda Kili awards ya msanii anayechipukia mwaka juzi Queen Darleen anaonyesha kwamba yeye sasa amekomaa kimuziki, akizindua video yake kwa mara ya kwanza 'Wanatetemeka' kwenye Friday Night live
Wanatetemeka
Madansa wa mwanamuziki Queen Darleen wakionyesha ujuzi wao wa kumiliki jukwaa kwenye uzinduzi wa video yake 'Wanatetemeka'