Mwanamuziki Pam D akijibu kuhusiana na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki Nay wa Mitego.
Muigizaji katika tasnia ya Bongo Movie 'Gabo' akielezea kuhusiana na madai ya siasa kuwasambaratisha wasanii na madai yakuwa sanaa ya Bongo Movie inakufa.
Mwanamuziki Pam D akitoa burudani ndani ya FNL