Farid Kubanda 'Fid Q'
Fid Q akiimba live wimbo wa Bongo Hip Hop.
Faiza Ally
Aliyekuwa mke wa Mh Joseph Mbilinyi 'Sugu', Faiza Ally akieleza kuwa hawezi tena kurudiana naye kwa kuwa tayari ana mpenzi na anahisi kuwa mjamzito.
Christian Bella
Christian Bella akiburudisha.