Wazawa crew
Wazawa crew wakifanya yao kuitafuta tiketi ya Robo fanali. Hawa waliweka historia ya kupewa alama 100 na jaji mgumu kuliko wote Super Nyamwela.
MAONI YA MAJAJI
Majaji wa Dance 100 (2015) wakitoa maoni yao kuhusu usaili wa Mwisho.
TANI BORA YA LEADERS CLUB
Haya ndio makundi matano yaliyofanikiwa kuingia robo fainali wakitokea viwanja vya Leaders Club.