CUTE BABIES
Katika usaili huu wa Don Bosco Upanga. Lilijitokeza kundi pekee la watoto wa kike. Lakini kwa bahati mbaya...
THE WINNERS
Mwaka jana hawa vijana walifika hatua ya fainali. Mwaka huu ndani ya usaili wamebahatika kupata alama 100% kutoka kwa jaji Shetta. Na hii ni mara yao ya tatu kushiriki mashindano yako. Unawaonaje?
MAJAJI
Baada ya kukamilika kwa usaili wa pili, majaji wa Dance100% walikuwa na machache ya kusema.