Ripoti
Stars yashindwa kulinda ushindi 'jioni'. Muunganiko wa Zainadine Junior, Elias Pelembe na Isack De Carvalho waipoka Stars ushindi kwa mambas wa Msumbiji.
Kinara
Mada Maugo amjibu Thoams Mashali. Mashali alimuita Maugo 'mdoli na mpenzi wake'. Maugo amuita Mashali 'mvuta bangi na mwizi wa Manzese'. Mada alipigwa Agosti 30 mwaka jana, mwaka huu wakatwangana kavukavu. Kukutana tena Nane nane kumaliza ubishi.
Vumbua
Katibu mkuu wa zamani wa klabu ya Simba na kilichokuwa chama cha soka hapa nchini Mwina Kaduguda, aandika kitabu cha historia ya klabu hiyo na soka la hapa nchini kwa ujumla.



