Ripoti
Wanamichezo 20 wa Tanzania walioenda China kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya jumuiya ya madola, warejea na kusema wamejifunza mengi.
Vumbua
Baada ya kupata ajali iliyokaribia kukatisha kipaji chake, bondia Thomas Mashali apona majeraha yake na aanza kujifua tayari kwa mapambano.
Vumbua
Bingwa wa dunia wa mpira wa miguu wa mtindo huru, Arnaud Séan Garnier kutoka Ufaransa, amefanya ziara ya siku tano hapa nchini na kuvutia watu kwenye maonesho yake.