Ripoti
Waziri wa mambo ya njeMh> Bernard Membe awaaga wanamichezo wanaoenda kuweka kambi ya mafunzo nje ya nchi kujiandaa na michezo ya jumuia ya madola.
Vumbua
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu ya Simba, Zacharia Hanspoppe, asema Azam hawakuvunja sheria kumsajili Domayo akiwa kambini kwani hawakumtorosha. Asaema Yanga ndio walikosea walipomsajili Kelvini Yondani kwa sababu walimtorosha kambini.
Zengwe
Vijana kutoka Tanzania waliohudhuria mafunzo maalumu ya mpira wa kikapu nchini Canada waonesha ufahamu kmubwa wa mchezo huo. Mmoja wao achambua ligi ya NBA kwa ufasaha mkubwa.