Ripoti
Ligi ya taifa ya mpira wa kikapu,NBL, yamalizika kwenye viwanja vya ndani vya taifa kwa Don Bosco Liness kuwa mabingwa kwa wanawake na JKT kuwa mabingwa kwa wanaume.
Vumbua
Kocha wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo 'Julio', alalamimikia hujuma ya watu wenye chuki naye kuikwamisha timu yake kupanda daraja.
Zengwe
Bondia kutoka Thailand ambaye amekuja kupambana na mtanzania Francis Miyeyusho, aja na vifaa vya ubondia kwa ajili ya kuwauzia watanzania. Mabondia wa kitanzania nao wangefaidika endapo wangekuwa wanabeba bidhaa za kitanzania kila wasafiripo.