9 wa familia moja wafariki kwa kusombwa na maji

Mto

Watu 9 wa familia moja katika mtaa wa Bugosi mkoani Mara wamesombwa na maji katika mto Mori kufuatia mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha mito na madaraja kujaa maji ambapo miili ya marehemu 7 imepatikana katika kingo za mto huo huku watu wawili wakiwa bado hawajapatikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS