Umeme waleta taharuki uwanja wa ndege Uingereza Uwanja wa Ndege wa Heathrow nchini Uingereza umefungwa siku ya leo Ijumaa kutokana na hitilafu kubwa ya umeme iliyohusishwa na moto katika kituo kidogo cha kusambaza umeme. Read more about Umeme waleta taharuki uwanja wa ndege Uingereza