Mwili wa mchimbaji uliofukiwa wafukuliwa mgodini

Mwili wa mchimbaji uliotolewa ndani ya kifusi

Mwili wa mchimbaji mmoja kati ya watatu waliofukiwa na kifusi baada ya duara kumeguka katikati kwenye mgodi wa Nkandi eneo la Mwime, Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga waopolewa. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS