Tanzania yaeleza inavyokabili dharura za afya
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya afya, kuimarisha ushirikiano na wadau, kuanzisha mifumo ya tahadhari mapema pamoja na ufuatiliaji

