A'ja Wilson aendelea alipoishia msimu jana

A'ja Wilson

Mshindi mara mbili wa tuzo ya MVP A'ja Wilson mwenye umri wa miaka 28 amekuwa na kiwango bora msimu huu na kuisaidia timu yake kuzidi kufanya vizuri kwenye ligi ya mpira wa kikapu upande wa wanawake nchini Marekani WNBA

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS