Lengo langu ni Ureno kushinda siyo mimi kufunga Cristiano Ronaldo - Nahodha wa kikosi cha Ureno Nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno na Klabu ya Al Nassr ya nchini Saudia Cristiano Ronaldo ameweka wazi malengo yake ndani ya kikosi cha Ureno ni kuona Timu inashinda na siyo yeye kufunga tu. Read more about Lengo langu ni Ureno kushinda siyo mimi kufunga